TUCTA zungumza kuhusu nyongeza ya mshahara ‘Tumezungumza nae tunasubiri mwaka wa fedha’
Katibu mkuu wa shirikisho la Vyama vya wafanyakazi Tanzania TUCTA Hery Mkunda amesema serikali imekubali itaongeza mshahara kuanzia mwaka wa fedha 2022/23.
“Rais tulikuwa tumeshakutana nae siku moja kabla ambapo tumejadiliana nae kwa undani suala hili na kimsingi alikubali atatuongeza mshahara na sisi wafanyakazi tunashukru sana ameweza kujibu na kukonga nyoyo za wafanyakazi tusubuli anakwenda kuifanyiakazi kwa mwaka wa fedha ujao ni miezi miwili tu” – Katibu Mkuu TUCTA.
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO Miilrdayo.
0 Comments