Header Ads Widget

MBATIA AMJIBU JOSEPH SELASINI
Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi aliyesimamishwa, James Mbatia amemjibu mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Joseph Selasini ambaye siku za hivi karibuni alimtuhumu mambo mbalimbali, ikiwamo kuwa na uhusiano na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mei 26, wakati akizungumza na waandishi wa habari, Selasini alisema halmashauri kuu ya chama hicho, iliazimia na kumtaka Mbatia kuacha uhusiano wake na CCM.

Alisema yeye na Antony Komu baada ya kutoka Chadema na kujiunga na NCCR Mageuzi, Juni 2020, siku chache kabla ya uchaguzi mkuu Mbatia aliwapeleka nyumbani kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally eneo la Kilimani jijini Dodoma.
 
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.

Post a Comment

0 Comments