Header Ads Widget

TAZAMA PICHA ZA ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI AKIWA NDANI YA BUNGE BAADA YA KIMYA KIREFU

ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA JOB NDUGAI AONEKANA BUNGENI

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, (kushoto), akiwa na Mbunge wa Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga Emmanueli Cherehani wakibadilisha mawili matatu.

Baada ya kimya kirefu cha kutoonekana Bungeni, hatimaye leo Aprili 13, 2022, aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai ameonekana Bungeni, ambapo kiu kubwa ya Watanzania ni kutaka afunguke wapi alipokuwa ili kujibu maswali mengi ya watanzania waliyokuwa wakitaka kujua alikwenda wapi, mara baada ya kujiuzulu nafasi hiyo, na Bunge lilipoanza hakuonekana kabisa bungeni na hivyo kuleta mijadala mingi ikiwamo kwenye mitandao ya kijamii.
Baadhi ya wabunge wakisalimiana na pamoja na kubadilisha mawili matatu, na aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai (kushoto).

CHANZO CHA PICHA NIPASHE.


Post a Comment

0 Comments