Header Ads Widget

RC SOPHIA MJEMA MGENI RASMI TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISUKUMA MANISPAA YA SHINYANGA


Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma 'Shinyanga Municipal Sukuma Festival' lililoandaliwa na Br. Black Social Partners kwa ajili ya kuuenzi utamaduni wa Kabila la Wasukuma litafanyika kuanzia Ijumaa Aprili 22 hadi Jumamosi Aprili 23,2022 katika viwanja vya shule ya msingi Nhelegani Kizumbi Manispaa ya Shinyanga.

Mgeni rasmi katika tamasha hili 'Lejigukulu lya Nzengo' anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema
TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807