Header Ads Widget

MAMBO ALIYOZUNGUMZA TUNDU LISSU ALIPOKUTANA NA RAIS SAMIARais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu walipokutana jijini Brussels nchini Ubelgiji. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameeleza mambo mbalimbali ambayo amezungumza na Rais Samia Suluhu Hassan walipokutana huko Brussels, Ubelgiji ikiwemo kesi ya mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
 
SOMA ZAIDI HAPA Soma zaidi hapa chanzo Mwananchi

TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807