Header Ads Widget

ALICHOZUNGUMZA SPIKA WA BUNGE DK.TULIA ACKSON KUHUSU WABUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA KUWEPO NDANI YA BUNGE


Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema waliopo bungeni wapo kihalali.

Hata hivyo amesema anasubiri michakato halali ndani ya chama chao na ngazi zingine ikithibitika hakuna shida atatekekeza takwa la kikatiba.
Novemba 2020 waliapishwa wabunge 19 wa Chadema ambao walizusha malumbano ya namna waliteuliwa na majina yao kupelekwa Bungeni kwani chama chao hakikutoa ridhaa.

 BONYEZA LINK USOME ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI.

TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp 0756472807