Header Ads Widget

YANGA OUT FAINALI MAPINDUZI CUP, AZAM YATINGA KIBABE


NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali mara baada ya kuwaondoa Yanga Sc kwa mikwaju ya penati 8-9 baada ya kumalizika dakika 90 bila kufungana.


Mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake ambapo Azam Fc alicheza mpira unaovutia licha ya kukosa nafasi nyingi ambazo walizipata.


Mchezaji wa Yanga Yassin Mustafa ndiye aliyekosa penati ambayo alipiga ikaenda juu hivyo mchezaji wa Azam Fc Mudathiri Yahaya akaweza kumalizia mpira wa mwisho na kuwapeleka fainali.
 
 Hivyo Azam FC wanatacheza na Simba SC fainali ya Mapinduzi CUP

Post a Comment

0 Comments