Header Ads Widget

SIMBA SC YATINGA FAINALI MAPINDUZI CUP KUCHEZA NA AZAM FC

KLABU ya Simba Sc imefuzu kuingia Fainali katika michuano ya Mapinduzi Cup, mara baada ya kuifunga Namungo Fc mabao 2-0, huku ikionyesha kucheza kandanda safi kwenye mchezo huo na kuutawala.

 
Simba Sc imefunga magori yake mawili kupitia kwa mshambuliaji Meddie Kagere pamoja na Pape Ousmane Sakho ambaye alikuwa kivutio kwenye mchezo huo,

Ambapo Simba Sc itacheza Fainali na Timu ya Azam Fc, ambayo imeondosha Yanga Sc kwa mikwaju ya Penati 8-9.




Post a Comment

0 Comments