Header Ads Widget

SHEMEJI MBARONI MAUAJI YA MCHUNGAJI KKKT


Aron Mkumbo ambaye ni mume wa Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Elizabeth Ng’unga akiwa nyumbani kwake wakati wa mahojiano na mwandishi wa gazeti la Mwananchi. Picha na Tumaini Msowoya


Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia Naftari Lulandala (40), mkazi wa Kijiji cha Uhambingeto kwa tuhuma za kumuua shemeji yake, Elizabeth Ng’unga (36).

Elizabeth, mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, aliuawa Desemba 15, 2021 katika Kijiji cha Kipaduka kisha mwili wake kutupwa kwenye Mlima wa Uhambingeto, wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.

                            SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI

Post a Comment

0 Comments