Header Ads Widget

Wimbo Mpya wa Injili : RISANDI LAIZER - BWANA NIONGOZEMwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha Risandi Laizer anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Bwana Niongoze. Unaweza kuwasiliana na Risandi Laizer kwa simu namba 0766200459 au barua Pepe rlaizer.tz108@gmail.com

Post a Comment

0 Comments