Header Ads Widget

ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO: YANGA YATUPWA KWA MWADUI, SIMBA KUIVAA DODOMA JIJI


DROO ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba imechezwa leo na ilikuwa mubashara AzamSports1HD.

Mbele ya vikapu alikuwepo Maalim Saleh na Hussein Sued ambao walikuwa wakichezesha droo hiyo na mambo yamekuwa namna hii:-

Simba v Dodoma Jiji

Rhino Rangers v Azam FC

Biashara United v Namungo FC

Mwadui FC v Yanga


Nusu fainali
Mshindi wa mchezo wa Simba v Dodoma v mshindi wa mchezo kati ya Rhino v Azam FC.

Mshindi wa Biashara United v Namungo v mshindi wa mchezo kati ya Mwadui FC v Yanga.

Post a Comment

0 Comments