Header Ads Widget

SIMBA YATHIBITISHA KUACHANA NA KOCHA WAKE

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck

Na Damian Masyenene
KLABU ya Simba ya Jijini Dar es Salaam leo Januari 7, 2021 imethibitisha kuachana na Kocha wake Mkuu, Mbelgiji Sven Van Denbroeck baada ya kuwa nae kwa misimu miwili na kufanikiwa kutwaa mataji matatu ambayo ni Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho (FA) na Ngao ya Jamii, huku timu hiyo ikiwa kwenye nafasi ya pili katika msimamo wa ligi msimu huu.

Taarifa hiyo inakuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Kocha huyo kuisaidia timu hiyo kutinga hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa barani Africa (CCL) baada ya kuichapa timu ya Platinum FC ya Zimbabwe kwa mabao 4 kwa 0 jana katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Soma zaidi taarifa ya Klabu ya Simba hapa chini

Post a Comment

0 Comments