Header Ads Widget

RAIS MWINYI ATEUA MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR


Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi Talib Haji 

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mwinyi Talib Haji alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Uteuzi huo umeanza leo 03 Novemba, 2020.


 Chanzo: EATV na Millardayo.com


Post a Comment

0 Comments