Header Ads Widget

BUNGE LAMPITISHA KWA ASILIMIA 100 KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU


Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiwa bungeni leo

Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa amethibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya kupata kura 350 kati ya kura 350 zilizopigwa sawa na asilimia 100. Majaliwa anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili (2020-2025).

Wabunge wakimpongeza KassimMajaliwa baada ya kudhibitishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa awamu ya pili

Picha na Millardayo.com 


Post a Comment

0 Comments