Header Ads Widget

PICHA: BAADHI YA MATUKIO MKUTANO WA DK. MAGUFULI WILAYANI HAIYanayoendelea Kujiri Kwenye Viwanja Vya Boma, Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ambako Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli amefanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni. Hai wanasema walikosea sana na Sasa wamejifunza na hawataki tena kufanya Makosa. Watatoa kura Zote Kwa CCM kwa nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Post a Comment

0 Comments