Header Ads Widget

MGOMBEA URAIS DK. MAGUFULI AWAKUBALI WANANCHI HAI BOMANG'OMBE 'MMEDHIHIRISHA MNA JAMBO LENU"

 

 Haya ndiyo aliyoyaongea Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli Kwenye Mkutano wake Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Kwenye Viwanja Vya Bomang'ombe, Hai Mkoani Kilimanjaro. Hai wanasema ubabaishaji kwisha, Sasa wanaenda na Wagombea wote wa CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM

Post a Comment

0 Comments