Header Ads Widget

DKT BASHIRU AAHIDI CCM KUYAENDELEZA YALIYOASISIWA NA WAZEE WA ZANZIBAR

Habari na Picha. Aliyoyazungumza Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa Kwenye Mkutano wake na Wazee wa Zanzibar Uliofanyika leo Jumatatu Oktoba 5,2020 Kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Dkt Bashiru amepata nafasi ya Kuwaambia Wazee wa Zanzibar Mwenendo wa Kampeni za CCM. #T2020JPM #Mwinyi2020.


Post a Comment

0 Comments