Header Ads Widget

PICHA: BONIFACE BUTONDO NAYE ACHUKUA FOMU KISHAPU, ASINDIKIZWA KWA SHANGWE


Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakimsindikiza mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu, Boniface Butondo kwenda kuchukua fomu katika halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga leo Agosti 22, 2020
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kishapu, Emmanuel Johnson (kulia) akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM, Boniface Butondo katika ofisi ya halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga.
Boniface Butondo akikabidhi barua ya uteuzi kutoka CCM kwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kishapu, Emmanuel Johnson
Boniface Butondo akiwa na timu ya kusimamia uchaguzi mkuu katika Jimbo la Kishapu
Wanachama wakimsindikiza mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu Boniface Butondo kwenda kuchukua fomu katika halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga
Butondo akiwa na baadhi ya wagombea/watia wenzake waliogombea katika kura za maoni waliojitokeza kumsindikiza kuchukua fomu ambao wamesema watashirikiana nae ili ashinde kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu.
Vijana wa CCM Kishapu waliojitokeza kumsindikiza mgombea ubunge Boniface Butondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge
Vijana wa CCM Kishapu waliojitokeza kumsindikiza mgombea ubunge Boniface Butondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge
Boniface Butondo akiwa na baadhi ya viongozi wa dini
Mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu, Boniface Butondo akiwa na viongozi wa CCM wilaya ya Kishapu

Picha zote na Suzy Butondo