Header Ads Widget

JITOKEZENI SIKU YA KUPIGA KURA OKTOBA 28 - RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli amewataka wanachama wa (CCM) wote kujitokeza siku ya tarehe 28 October siku amabyo imepangwa na  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajli ya kupiga kura ya  kumchagua Rais,Wabunge na Madiwani.

Rais Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa kampeni za chama hicho zitakuwa za kistarabu na huru.
endelea kufuatilia Shinyanga press club blog.