Header Ads Widget

AHMED SALUM ACHUKUA FOMU JIMBO LA SOLWA

Ahmed Salum akishangiliwa na baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumsindikiza kuchukua fomu ya NEC kwenye ofisi za halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ya kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Solwa, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga, Hoja Mahiba (kushoto), akimkabidhi fomu za uteuzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ahmed Salum ya kugombea ubunge jimbo la Solwa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.

Ahmed Salum akionyesha fomu ya tume ya taifa ya uchaguzi (Nec) ya kugombea ubunge jimbo la Solwa kupitia chama cha mapinduzi CCM Kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.
Mwanachama wa CCM akipiga Pushup, barabarani Kata ya Iselamagazi halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

Picha na Marco Maduhu