Header Ads Widget

WAZIRI UMMY MWALIMU, NAIBU WAZIRI FEDHA, DK. ASHATU KIJAJI WAPETA KURA ZA MAONI


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu


Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameibuka mshindi wa kura za maoni Jimbo la Tanga Mjini baada ya kupata kura 783 kati ya kura 873 zilizopigwa, Mshindi wa pili ni Omary Ayoub ambaye amepata kura 41.
 
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Ashatu Kijaji ameshinda kura za maoni Jimbo la Kondoa Vijijini kwa kupata kura 703, mshindi wa pili ni Hassani Lubuva mwenye kura 238 na wa tatu ni Issa Orry mwenye kura 36.