Header Ads Widget

DIRISHA LA USAJILI LIGI ZA TANZANIA LAFUNGULIWA, KUKOMA AGOSTI 31

Ofisa Habari na Mawasiliano, TFF, Clifford Ndimbo


Dirisha la usajili kwa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Daraja la Kwanza (FDL), Daraja la Pili (SDL) na Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL) limefunguliwa leo Agosti 1 na linatarajiwa kufungwa Agosti 31, mwaka huu saa 5:59 usiku.

Soma zaidi taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Ofisa Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo.