Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) uliofanyika nchini kote kuanzia Septemba 9, 2026.
Shule ya Msingi Mwenge ya Manispaa ya Shinyanga inayopatikana mtaa wa miti mirefu imeendelea na ubora wake wa kitaaluma katika mitihani ya kitaifa.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Jumanne, Novemba 3, 2026, na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Profesa Said Ally Mohamed.
.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464
