Soma Jarida la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga la Januari – Machi 2026, likiangazia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, huduma za kijamii, uwekezaji, miundombinu, afya, elimu, kilimo na shughuli mbalimbali za Serikali katika kuwahudumia wananchi wa Mkoa wa Shinyanga.
JARIDA LA MKOA WA SHINYANGA 2026
Toleo No.001 | January - March 2026
