` 🛑 Live: JAJI CHANDE ANATOA UFAFANUZI KUHUSU RIPOTI YA MATUKIO YA OKTOBA 29

WANDAMAN HOTEL

🛑 Live: JAJI CHANDE ANATOA UFAFANUZI KUHUSU RIPOTI YA MATUKIO YA OKTOBA 29

 

Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464