` WANDAMAN HOTEL FAHARI YA SHINYANGA-MALAZI YA HADHI YA JUU YANAYOKUFANYA UJISIKIE UPO NYUMBANI,KUMBI ZA MIKUTANO NA FARAGHA

WANDAMAN HOTEL FAHARI YA SHINYANGA-MALAZI YA HADHI YA JUU YANAYOKUFANYA UJISIKIE UPO NYUMBANI,KUMBI ZA MIKUTANO NA FARAGHA


WANDAMAN HOTEL – Malazi ya kifahari yanayokufanya ujisikie nyumbani.

-xxxx-

WANDAMAN HOTEL: ni Hotel mpya ambayo ipo Kata ya Kambarage Manispaa ya Shinyanga maeneo ya Mwasele, nyuma ya nyumba Musoma Food barabara ya Karena, kama unatokea shule ya Msingi Kambarage.

Huduma Zake Kuu:

Vyumba vya kulala vya kisasa: Safi, vyenye hadhi na vinavyokidhi mahitaji ya mapumziko.

Vyumba vya wageni wa kitaifa: pia vipo kwa ajili ya kupumzika vye hadhi ya juu kabisa.

Huduma ya chakula bora: Ladha ya kipekee inayokidhi mapendeleo ya kila mgeni.

Mandhari ya kuvutia: Hotel imezungukwa na miti, hewa safi na mazingira tulivu yanayokufanya uhisi faragha na utulivu na mapumziko ya kifamilia.

Wahudumu: wakarimu waaminifu na wenye weledi wa hali ya juu.


Kumbi za mikutano: Zinapatikana kwa semina, warsha, mikusanyiko na hafla mbalimbali, na ukumbi wa faragha pia upo.

Massage za Electronic: unakaa kwenye kiti unafanyiwa massage kwa mfumo wa Teknolojia.

💼 WANDAMAN HOTEL NI FAHARI YA SHINYANGA ,HOTELI YA KISASA YENYE HADHI YA JUU KWA WAGENI MBALIMBALI NA KUMBI ZA MIKUTANO

📞 Mawasiliano yao piga simu namba. +255 770 601 666
0757-281 271
0672-166 342
0754-484 965

Barua Pepe: wandamanhoteltz@gmail.com
Instagram: wandamanhotel
Facebook: wandamanhotel


WANDAMAN HOTEL – Hadhi, Utulivu na Huduma Bora. ✨
Chumba cha Massage cha Kielekitronic.
'Restaurant'.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464