` BINTI ALIYETESWA NA MAUMIVU MAKALI YA HEDHI APATA TENA TABASAMU

BINTI ALIYETESWA NA MAUMIVU MAKALI YA HEDHI APATA TENA TABASAMU


Binti Aliyeteswa na Maumivu Makali Ya Hedhi APATA TENA TABASAMU

AMINA NI BInti Mwenye UMRI WA Miaka 23, Anayetokea Temeke, Dar es Salaam. Katika Maisha Yake Ya Ujana, Amina Alikuwa Na Ndoto Nying za Kufanikisha, Lakini Changamoto Kubwa Iliyokuwa Ikimsumbia Mrefu Kupita Kawaida. Kila Mwezi, Hali Hiii Ilikuwa Kama Jinamizi Jipya Kwake.

Wakati wa Siku Zake, Amina Mara Nyinga Alikuwa Akilazimika Kubaki Nyumbani Kwa Sababu Ya Maumivu Makali Yaliyomfanya Ashindwe Hata Kutembea Vizuri. Shule za sekondari na hata chuo Alichosoma Kilishuhudia Changamoto Zake Mara Kwa Mara, Kwani Alipoteza Masomo Mengi Kwa Sababu Ya Hali Hiyo. Wakati Mwingine, Hata Akienda Darasani, Alikuwa Akihisi Aibu Kutokana na Hali Ya Kuvuja Damu Nyingi Kwa Muda Mrefu. RAFIKI ZAKE WALIJUA FIKA Kwamba

Amina Alitembea Hospitali ya Mbalimina Akitafuta Tiba. Alipimwa, Alipewa Dawa za Kupunguza Maumivu na Ushauri wa Kitabibu, Lakini Hali Yake Iliendelea kuwa Ile. Wakati Mwingine Dawa Hizo Zilipunguza Maumivu Kwa Muda Mfupi, Lakini Baada Ya Muda Mfupi Maumivu Yale Yalirudi Kwa Nguvu Zaidi. Alijaribu Pia Tiba za Kienyeji Kwa Maelekezo Ya Baadhi ya Ndugu na Marafiki, Lakini bado Hakupata Nafuu Ya Kudumu.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464