` ALIHISI NGOZI IKIANZA KUTULIA NA CHUNUSI ZILIANZA KUKAUKA

ALIHISI NGOZI IKIANZA KUTULIA NA CHUNUSI ZILIANZA KUKAUKA

Alihisi Ngozi Ikianza Kutulia, Na Chunusi Zilianza Kukauka!

MWANAMKE MREMBO AITWAYE AGAPE, Alikuwa na Ndoto Nying Maishani -Kujenga Familia YENYE FUraha, Kuwa Mama, Na Kuendeleza Kazi Yake Ya Unamititindo. Lakini Ndoto Hizo Zilianza Kufifia Taratibu Kutokana na Tatizo Moja Kubwa Lililomsumbua Kwa Miaka Mingi: Chunusi Zenye Maumivu Makali Usoni.

Tatizo Hilo Lilianza Alipokuwa na Umri Wa Miaka 22, Muda Mfupi Baada Ya Kumaliza Chuo. Kwanza Zilionekana Kama Vipele Vya Kawaida, Lakini Kadri Muda Ulivyopita, Zilianza Kuongezeka, Kuwa Na Maumivu, Na Kuacha Makovu Ya Kudumu.

ALIJARIBU KIKI AINA YA VIPODOZI, SABUNI ZA USONI, NA HATA DAWA KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA WA NGOZI. Alitembebea Hospitali ya Kubwa jijini dar es salaam, Arusha, na hata Nairobi, Lakini Hakuna Tiba Iliyomlea nafuu ya Kudumu.

Agape Alijikuta Akipoteza Kujiamini. Alianza Kuepuka Kamera, Mikusanyiko Ya Watu, na Hata Mahojiano Ya Kazi. Mara Nyinga Alijifunika USO KWA KITAmbaa AU Kuvaa Kofia Kubwa Ili Kuficha Chunusi Hizo. Maumivu Ya Kimwili Yalikuwa Makali, Lakini Maumivu Ya Kisaikolojia Yalikuwa Mabaya

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464