` ÀLIVYOPAMBANA NA CHANGAMOTO YA KUSHINDWA KUTUNGISHA MIMBA HADI KUSHINDA

ÀLIVYOPAMBANA NA CHANGAMOTO YA KUSHINDWA KUTUNGISHA MIMBA HADI KUSHINDA

Alivyopambana na Changamoto ya Kushindwa Kutungisha Mimba Hadi Kushinda

Kijana Salmini, Kijana Mwenye UMRI WA Miaka 37, Alikuwa na Ndoto Moja Kuu Maishani -Kuwa Baba. Alikuwa ameoa kwa zaidi ya Miaka Saba, Akiishi na Mke Wake Kwa Upendo, Mshikamano na Matumaini Ya Siku Moja Kubarikiwa Na Mtoto. Lakini Kadri Miaka Ilivyopita Bila Dalili Yoyote Ya Ujauzito, Huzuni Ilianza Kuchukua Nafasi Ya Furaha Ndani Ya Ndoa Yao.

Kila Mara Salmini Alijikuta Akitafakari Kwa Kina: "Je, Shida Iko Kwangu? Au Kwa Mke Wangu?" WALIJARIBU KIKA NJIA -Kutembelea Hospitali ya Kubwa za, Kliniki za Uzazi, na hata waganga wa Kienyeji Waliodai kuwa na tiba ya Matatizo ya Uzazi. Lakini Majibu Yalikuwa Yale Yale: Hakuna Mabadiniko.

Salmini Alikumbia na Msongo wa Mawazo. Alijitenga na marafiki, Akaanza Kuepuka Vikao Vya Familia Ambavyo Mara Nying Vilikuwa Na Maswali Ya "Mbona Bado Hamjapata Mtoto?" ALIJIONA KAMA Ameshindwa kutimiza wajibu Wake wa Kiume. Mke Wake, Ingawa Alikuwa Mvumilivu, Naye Alianza Kuyesha Dalili za Kuvunjika Moyo.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464