
Na Kareny Masasy,
Shinyanga
Mgombea udiwani kata ya Ngogwa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga Abel Juma Mabao amepitishwa kugombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Mapunduzi( CCM)
Mgombea huyo amesema hayo baada ya kuresha fomu huku akiwataka wananchi kuendelea kumuamini baada ya kupitishwa na kuhakikisha kuwaletea maendeleo zaidi.
"Sasa nimepitishwa na ninawaomba wananchi tuweze kujitokeza kwa wingi wakati wa kampeni ili kusikiliza sera na ilani ya chama changu"amesema Mabao

Viongozi wakizungumza na wananchi

.jpeg)
Mgombea Udiwani Kata ya Ngogwa Abel Juma Mabao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa ofisi za INEC akipitia fomu yake

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464