` SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JULAI 7,2025

SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JULAI 7,2025












Nilifukuzwa Kazi Kwa Uonevu Lakini Mahakama Ikanirudisha na Kunitunuku Mamilioni

Nilipofika kazini siku ile, sikujua kuwa maisha yangu yangekuwa mabaya kwa muda mrefu. Meneja aliniita ofisini kwake na bila kutoa maelezo ya kina, aliniambia kuwa huduma zangu hazihitajiki tena. Nilifukuzwa kazi ghafla, bila onyo, bila kosa lililothibitishwa. Nikiwa bado nimeduwaa, nikapewa barua ya kusitishiwa ajira, nikatakiwa kuondoka mara moja.

Nilijaribu kuelewa kosa langu lakini sikupata jibu lolote. Watu wa karibu ofisini walinong’ona kuwa nilionekana kama tishio kwa mtu mwenye nguvu labda nilionekana mchapakazi sana au mkweli kupita kiasi. Miezi ilipita nikihangaika kutafuta kazi nyingine bila mafanikio. Kila nilikoomba kazi, nilikataliwa. Kichwa changu kilijaa maswali: “Kwa nini mimi? Kwanini kwa njia hii ya udhalilishaji.





Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464