` NILIKUWA KIBARUA SASA NIMEAJIRI WENYE DEGREE

NILIKUWA KIBARUA SASA NIMEAJIRI WENYE DEGREE


Nilikuwa Kibarua, Sasa Nimeajiri Wenye Degree Kupitia Msaada Spesheli

Miaka miwili iliyopita nilikuwa najitahidi tu kuishi. Nilikuwa kibarua wa kubeba mizigo sokoni kazi za kuchafuka mikono, kulala njaa mara kwa mara, na kuamka mapema sana nikisaka riziki ambayo haikuwa na uhakika. Siku moja kuna kazi, kesho hakuna. Nilikuwa na ndoto kubwa sana, lakini sikuwa na mtaji, msaada wala mtu wa kuniinua.

Wakati wenzangu walikuwa wakijipanga na mipango ya maisha kununua pikipiki, kuanzisha biashara ndogo ndogo, hata kusomesha watoto wao mimi nilikuwa nikiishi kwa mkono wa mdomo. Ukipata kazi ya siku hiyo, unakula. Ukikosa, unalala na njaa.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464