
Na Suzy Butondo
MC: HASIMA RAMADHAN MAIGE AJITOSA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA UDIWANI VITI MAALUM
Hasima Ramadhan Maige ambaye ni mkazi wa kata ya Old Shinyanga leo amechukua fomu ya kugombea udiwani viti maalum katika ofisi ya UWT wilaya ya Shinyanga
`