` MKE AMFUMANIA MUMEWE KWENYE MADANGURO

MKE AMFUMANIA MUMEWE KWENYE MADANGURO


Mke amfumania mumewe kwenye madanguro!

Kwa kawaida mwanamke akiwa mjamuzito hutaka kuonyeshwa upendo wa hali ya juu kwani wakati huo hupitia changamoto nyingi kutokana na mabadiliko katika mwili wake yanayoletwa na kiumbe kilichopo tumboni.

Hii ilikuwa tofauti kabisa kwa mume wangu, nilipokuwa na ujauzito wa miezi sita mambo yalibadilika sana kutokana na mimi kushindwa kumpatia haki yake ya ndoa kutokana na hali yangu, sikupenda iwe hivyo ila ni jambo lilokuwa nje ya uwezo wangu.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464