` HIVI NDIVYO WEZI WALIVYOKULA NYASI BAADA YA KUTEKELEZA WIZI WAO

HIVI NDIVYO WEZI WALIVYOKULA NYASI BAADA YA KUTEKELEZA WIZI WAO


Hivi ndivyo wezi walivyokula nyasi baada ya kutekeleza wizi wao

Visa vya wizi wa pikipiki na bidhaa nyingine ningi vimekuwa vikitokea katika eneo la Msambweni na Mombasa kwa jumla, jambo ambalo limetupa sisi wenyeji wasiwasi kwa kiasi kikubwa kwa kuwa kila wakati tuko na hofu ya kuvamiwa na kuibiwa mali zetu.

Visa hivi huripotiwa kwa vituo mbalimbali vya Polisi, lakini hakuna lolote limefanyika kufikia sasa wengi wa Polisi kwenye vituo hivyo hutoa ahadi mingi za kuweza kuwanasa washukiwa wa wizi na kuwafikisha kortini kuweza kushtakiwa, lakini ahadi hizo zimekwisha kuambulia patupu nyakati zote.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464