
Mbinu rahisi ya kuinua biashara, asimulia jinsi Hoteli yake ilivyoanza kuchuma mapato tele
Ama kwa hakika huwa ni ndoto ya kila mfanyabiashara kujiendeleza na kufanya biashara ambayo itamletea faida kila wakati katika hali yoyote ile. Hii ilikuwa tofauti sana kulingana na biashara yetu ya hoteli.

Kwa jina ni Milkah, mimi pamoja na mume wangu tulikuwa na hoteli katikati ya jiji na mara nyingi biashara ile haikuwa na mafanikio yeyote.