` SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 3,2025

SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUNI 3,2025





Magazetini _ Sababu Kanisa la Gwajima kufutwa












Jinsi nilivyokwepa kutoa rushwa ya ngono ili kupata kazi

Kusema kweli nikiwa kama dada ninayepambana, itanichukua miaka mingi sana kuja kusahau kitendo cha Bosi wangu niliyekuwa namuheshimu sana alipoaniambia ili kupanda cheo kazini basi ni lazima nilale na angalau mara mbili.

Nilikataa mara moja kwani uwezo wa kazi ninao mzuri na isitoshe nimesoma vizuri na vyeti vya kitaaluma ninavyo. Nikajisema kimoyo moyo kama vipi nitaacha hii kazi akiendelea kunisumbua kuhusu jambo hilo.




Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464