` SULUHISHO KWA WANAWAKE WANAOSUMBUKA KUPATA WATOTO

SULUHISHO KWA WANAWAKE WANAOSUMBUKA KUPATA WATOTO




Suluhisho kwa wanawake wanaosumbuka kupata watoto

Ndoa hukumbwa na changamoto mbalimbali ambazo hutokea bila ya wanandoa kujua au kuwa kinyume na matarajio yao, katika mila na desturi za kiafrika kupata mtoto huwa ni ishara kwamba ndoa imekamilika.

Mtu anapokosa mtoto katika mila zetu huwa ishara kwamba hawezi kuheshimiwa kabisa kulingana na makabila mengi hapa Afrika.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464