` MUME WANGU ALIANZA KULALA NJE BILA SABABU

MUME WANGU ALIANZA KULALA NJE BILA SABABU



Mume Wangu Alianza Kulala Nje Bila Sababu—Na Hatimaye Niligundua Mke Mwenzangu Alikuwa Rafiki Yangu wa Damu


Mwaka wa pili baada ya ndoa yetu ulikuwa mzuri sana. Tulikuwa kama marafiki wawili waliopendana kwa dhati. Mume wangu, Daniel, alikuwa ni mtu wa familia, mwenye bidii kazini na kila wakati alikuwa na muda kwa ajili yangu.

Hakuna aliyewahi kuniambia ndoa inaweza kubadilika ghafla kama upepo wa jioni lakini ndivyo ilivyokuwa kwangu. Ilianza polepole. Alianza kurudi nyumbani usiku wa manane, mara nyingine akidai alichelewa ofisini au alikuwa na marafiki.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464