` USIKU WA MAHARUSI ULIVYOGEUKA KUWA SHUBIRI

USIKU WA MAHARUSI ULIVYOGEUKA KUWA SHUBIRI


Duh! usiku wa maharusi ulivyogeuka kuwa shubiri, kisa?

Katika maisha sikuwahi kuwaza kamwe kwamba ndoa yangu ingekaribia kuvunjika miezi michache tu baada ya harusi yetu ambayo ilihudhuriwa na watu wengi na kuteka mazungumzo kila kona kwa yale yaliyojiri.


Yote ilianza usiku wa harusi yetu, wakati mimi na mume wangu tukitazamia kuanza kufaidi matunda ya ndoa, mambo yalienda ndivyo sivyo kabisa.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464