` SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO MEI 31,2025

SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO MEI 31,2025




Magazeti










Nilikuwa Nabeba Mizigo Soko Kuu Leo Mimi Ndiyo Mmiliki wa Boja la Mizigo Hilo Hilo

Nilipomaliza kidato cha nne miaka saba iliyopita, sikuwa na nafasi ya kuendelea na masomo. Hali ya nyumbani haikuwa nzuri, na baba yangu alikuwa tayari mzee asiyeweza kufanya kazi. Nikiwa kijana wa miaka 19, niliamua kutoka kijijini na kuja mjini kutafuta maisha. Nilifika Soko Kuu nikiwa na mfuko wa nguo chache na matumaini makubwa, ila sikuwa na hakika chochote kingewezekana.

Kazi ya kwanza niliyoipata ilikuwa kubeba mizigo ya watu sokoni. Tulikuwa tunaita “kuchomeka” yaani ukisikia mtu anaita, “beba hapa,” unaenda, unaweka mzigo kichwani au mgongoni, unapeleka, unapewa pesa ya haraka haraka.




Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464