` KISA TAMAA YA MAPENZI AIINGIZA FAMILIA YAKE KATIKA MATATIZO MAKUBWA

KISA TAMAA YA MAPENZI AIINGIZA FAMILIA YAKE KATIKA MATATIZO MAKUBWA


Kisa tamaa ya mapenzi aiingiza familia yake katika matatizo makubwa

Jina langu ni Queen, miezi sita iliyopita, nilianza safari ya mabadiliko maishani kwa kuhama kutoka kwenye kazi yangu ya zamani na kwenda nyingine ambayo nilikuwa na matumaini makubwa nayo.

Uamuzi huu ulitokana na hamu ya kupata changamoto mpya ili kuwa na ukuaji katika kazi yangu katika maeneno mbalimbali hasa upande wa kiuchumi.



Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464