` KATIBU MKUU WAZAZI ALLY HAPI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA SHINYANGA MJINI

KATIBU MKUU WAZAZI ALLY HAPI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA SHINYANGA MJINI


KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi *(CCM) Ndugu. Ally Salum Hapi (MNEC),* anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi Tarehe *24/01/2025* katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Shinyanga Mjini.

Katika mkutano huo Ndugu Ally Hapi, atapokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2020 -2025 kutoka kwa *Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Mhe. Patrobas Katambi,* ambaye pia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu).

*Imetolewa na Idara ya Oganaizesheni ya Jumuiya ya Wazazi Taifa*

*#WazaziMpangoMzimaNaRaisSamia2025*
*#WazaziTunakwendaNaMwinyiZanzibar2025*
*#WazaziInjiniyaChama*
*#WazaziTukoImara2025*
*#WazaziMstariWaMbeleUchaguziMkuu2025*
*#UchunguWaMwanaAujuayeMzazi*
*#MwanaUmleavyoNdivyoAkuavyo*
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464