Header Ads Widget

MKE WANGU AMENIKIMBIA KWA MADAI NILIMBAKA DADA YAKE


Mke wangu amenikimbia kwa madai nilimbaka dada yake!

Jina langu ni Solomoni kutokea Kwale, Kenya, katika maisha yangu, kamwe siwezi kusahau miaka kama saba iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamni kuwa nilitaka kumbaka jambo ambalo sio la kweli na wala sijawahi hata kuwa nazo hilo.

Nilikamatwa na kufikishwa mahakamani, nilisomea ma

shtaka ambayo yote niliyakana na kupelekwa rumande, baadaye nilikuja kupata dhamana na kuachia jambo ambalo lilinipa tumaini ya kushinda kesi hiyo ngumu kuwahi kutokea.

Naye mke wangu waliamua kuondoka nyumbani na kuniambia mimi ni mtu ambaye siridhiki kwa sababu nimetaka kutembea hadi na dada yake, kauli hiyo ilinitoa machozi kutokana sikufanya kitendo hicho.

Siku hiyo nilimuomba sana asiondoke maana hana uwakika kama ni kweli nimefanya hivyo, alisema dada yake anamfahamu vizuri na kamwe hawezi kuongea uongo mkubwa kiasi hicho, hivyo ni lazima itakuwa ni kweli.

Basi mke wangu aliondoka na kubaki mwenyewe, ilikuwa ni aibu kubwa sana kwangu, habari hizo tayari zilikuwa zimeshasambaa mtaani na kwenye vyombo vya habari.

Rafiki yangu mmoja aitwaye Danny alipata habari hizo na kuja nyumbani kunitembelea, nilimueleza ukweli wa jambo hilo na kuahidi kuwa ataisimamia kesi hiyo hadi kuhakikisha nashinda dhidi ya uongo huo.

Katika maongezi yetu zaidi aliniambia kuna mtu anaitwa Kiwanga Doctors niwasiliane naye kwani atawezesha sisi kushinda kesi hiyo kwa urahisi zaidi na amekuwa akiwashauri wateja wake kufanya hivyo kabla ya kuanza kusimamia kesi zao.

"Licha ya mimi kuwa wakili mzuri, katika kesi nyingi ambazo nimekuwa nikizimamia, mara zote huwa nawashauri wateja wangu kufuata matambiko kwa Kiwanga Doctors ili kuleta urahisi wa kushinda kesi zao," alisema Danny.

Danny alichukua simu yake na kunipatia namba ya Kiwanga Doctors, niliwasiliana naye na kumuomba sana anisaidie niweze kuondokana na aibu hiyo. Basi alinihakikishia kesi hiyo ni nyepesi sana na nina kwenda kuishinda mchana kweupe siku sio nyingi.

Ilifika siku ya hukumu na Jaji akatoa hukumu kuwa sina hatia, nilifurahi sana kuachiwa huru maana hapo jina langu linakuwa limesafishwa kutoka mtu ambaye nilioneka kuwa mbakaji aliyevuka mipaka, inawezekanaji unambaka shemeji yako!.

Kilichokuja kunishangaza ni pale niliporudi nyumbani na kumkuta mke wangu, nilimuuliza mbona umerudi, akaniambia pole najua umeshinda kesi ila samahani sana.

Nikamuuliza samahani ya nini tena?, akajibu amebaini kuwa dada yake alinifungulia kesi ya uongo ili tuachane halafu nikaolewe na mwanaume mwingine, Mke wangu alinisisitiza nisamehe kwa moyo mweupe na tuendelee na maisha yetu, kwa kuwa nilimpenda sana niliamua kusamehe.

Namshukuru Kiwanga Doctors ambaye pia huondoa mikosi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuondokana na migororo na ndoa, kuongeza mauzo katika biashara, kusaidia kupata ujauzito, kumlinda mume au mke, kumalima migorogoro ndani ya ndoa. Mpingie sasa +254 769404965, kwa maelelezo zaidi karibu www.kiwangadoctors.com.

Mwisho.

Post a Comment

0 Comments