Header Ads Widget

MBUNGE BUTONDO AMESHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA ALIYEKUWA PAROKO WA PAROKIA YA NDALA EMMANUEL MAKOLO APUMZIKE KWA AMANI

MBUNGE wa Kishapu Boniphace Butondo ameshiriki Misa takatifu ya kumuombea aliyekuwa Paroko wa parokia ya Ndala Emmanuel Limbe Makolo apumzike kwa Amani.

Misa hiyo imefanyika  leo Tarehe 03/05/2024Katika  Kanisa la RC Parokia ya Mhunze.

Mh Butondo amemshukuru Askofu Sangu Pamoja na wasaidizi Wake kwa ushiriki wao Katika Msiba huo mzito.

Pia amewapa Pole familia ya Makolo na kuwaomba wayaenzi Mazuri yote aliyokuwa anayafanya Marehemu, na kifo hicho kisiwe chanzo Cha Mafarakano.

Post a Comment

0 Comments