Header Ads Widget

WAZIRI MKUU ADAIWA KUJIUZULU


Waziri Mkuu Haiti aripotiwa kujiuzulu

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGESMaelezo ya picha,

Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry
12 Machi 2024

Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry amejiuzulu, mwenyekiti wa kundi la nchi za Caribbean amesema, kufuatia wiki za shinikizo zinazoongezeka na kuongezeka kwa ghasia nchini humo.

Inakuja baada ya viongozi wa kanda kukutana nchini Jamaica siku ya Jumatatu kujadili mpito wa kisiasa nchini Haiti.


Kwa sasa Bw Henry yuko Puerto Rico baada ya kuzuiwa na magenge yenye silaha kurudi nyumbani.

Alikuwa ameiongoza nchi hiyo tangu kuuawa kwa rais Julai 2021.

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO BBC SWAHILI

Post a Comment

0 Comments