Header Ads Widget

SIMBA GARI LIMEWAKA WASHINDA NGAO YA JAMII 2023 YAICHAPA YANGA MIKWAJU YA PENATI

Timu ya Simba SC imeshinda ngao ya jamii 2023 baada ya kuichapa Yanga Mikwaju ya Penati.

Simba imeshinda Mikwaju ya Penati 3-1, hivyo Simba imechukua ngao ya jamii mara ya Saba sawa na Yanga.Penati ya Mwisho ya maamuzi imepigwa na Mchezaji Jean Baleke.

Post a Comment

0 Comments