Header Ads Widget

KIJUE CHANZO MIMBA KUFIKISHA MIEZI 11


Kijue chanzo mimba kufikisha miezi 11
 Kardinali mteule Protase Rugambwa alipozungumzia historia yake baada ya uteuzi alisema wataalamu wa afya walieleza alizaliwa akiwa na ngozi ya ajabu.

“Wataalamu wa baiolojia wanaweza kuona ni vigumu, lakini hata wataalamu kipindi hicho walisema nilizaliwa na ngozi ya ajabu ajabu,” alisema Kardinali mteule Rugambwa.


Hali hiyo ilitokea miaka 63 iliyopita, aliposubiriwa azaliwe baada ya kukaa tumboni kwa miezi 11 tofauti na ilivyozoeleka ujauzito ni miezi tisa.
Soma zaidi hapa chanzo mwananchi

Post a Comment

0 Comments