Header Ads Widget

DAWA ZA MVUTO WA MAPENZI, NGUVU ZA KIUME ZAWATESA WANAFUNZI

Dawa za mvuto wa mapenzi, nguvu za kiume zinavyotesa wanafunzi
Wauzaji wa dawa za asili wakiwa nje ya mlango wa kuingilia katika Shule ya Sekondari Viwandani iliyopo jijini Dodoma. 

Biashara ya dawa za miti shamba na hasa zinazohusu mvuto wa mapenzi na nguvu za kiume, zinaweza kuwa janga kwa shule mbili za sekondari Dodoma na Viwandani jijini hapa.


Mwananchi lilifanya uchunguzi kwa siku kadhaa kwenye shule hizo na kugundua wafanyabiashara walioweka meza zao za dawa za miti shamba wakitazamana na mageti ya shule hizo, wateja wao wakubwa ni wanafunzi.

Soma zaidi hapa chanzo mwananchi.

Post a Comment

0 Comments