Header Ads Widget

WATU 12 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI LA FRESTER KUGONGANA NA LORI DODOMA


WATU 12 WAFARIKI DUNIA BAADA YA BASI KUGONGANA NA LORI DODOMA


Na EMMAEL MBATILO

Dodoma

WATU 12 wamepoteza maisha baada ya basi a Frester lililokuwa likitokea Bukoba kwenda Dar es salaam kugongana uso kwa uso na Lori la Texas majira usiku wa kuamkia leo.

Ajali hiyo imetokea eneo Kiiji Cha Silwa wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma.


Katibu Tawala mkoa wa Dodoma Dk Fatma Mganga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo watu 12 wamepoteza maisha.


√Ālisema mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule yuko eneo la tukio.

Post a Comment

0 Comments